WhatSong Soundtrack Logo
1 credits

Heard in the following movies & tv shows

Lyrics

Kipenda roho Kipenda roho Kipenda roho Kipenda roho hula nyama mbichi Kipenda roho haoni wala hasikii Akipenda anapenda ohh Akipenda hasikii Kipenda roho Kipenda roho Penzi halijui mdudu wala penzi halijui mnyama Samaki majini wanazaana Kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa Kipenda roho Kipenda roho Penzi halina ubaguzi Penzi halina ubaguzi Penzi lingekuwa na ubaguzi Sisi wabaya tungelia Sisi wabaya hatungepata kitu Sisi viwete hatungesema tena Lakini penzi halina ubaguzi Mbele ya mapenzi kiwete anatembea Mbele ya mapenzi kiwete anapakatwa Halafu utashikwa na mshangazo kiwete anamtoto Halafu utashikwa na bumbuwazi kichaa anamimba Amepata mshikaji wake Kipenda roho, kipenda roho Kipenda roho, kipenda roho Penzi halijui mlokole Penzi halijali umeokoka Wee unasema umeokoka eeh Kwanza una mke na watoto Wale watoto umewazaazaa vipi baba Na mama watoto usipo na... Kipenda roho, kipenda roho... Jamani siku hizi mapenzi yameogopewa eeh Ukimwi umeota mizizi kwa mapenzi Kutomboza tunaogopa Hata kupenda tunaogopa Ukimwi umeota mizizi Siku hizi hakuna tena mapenzi Siku hizi mapenzi yamekufa eeh Mama yako aliolewa na mapanga na mikuki Lakini wasichana wa Dar Salaama eeh Wanataka pesa Kipenda roho, kipenda roho

Song Info

Release Year

-

Genres

-

Moods

-

Vocals

-

WhatSong Soundtracks Logo
WhatSong

WhatSong is the worlds largest collection of movie & tv show soundtracks and playlists.

© 2023 WhatSong Soundtracks. All rights reserved

Quick links

ContactPrivacyAbout